Sunday, February 9, 2014

VIJANA WAENDESHA BODA BODA WAKIONYESHA VYETU VYAO BAADA YA MAFUNNZO.

Hichi  ni kikundi cha Umoja wa vijana waendesha boda boda kutoka MAGOROFANI mtaa wa SANDALI kataa ya SANDALI manispaa ya TEMEKE. Wakionyesha vyeti vyao baaada ya kupewa mafunzo na shirika la vijana wajasiriamali na uwezeshaji Tanzania (TYEEO) yaliohusu maana ya ujasiriamali, mbinu za kuwa wajasiriamali wenye mafanikio, mbinu za kupata mtaji na mbinu za kutafuta masoko katika biashara mbali mbali.

MAFUNZO KATA YA VINGUNGUTI

Wanakikundi wa Tupendane group kutoka kata Vingunguti mtaa wa MTAKUJA wilaya ya ILALA wakipokea mafunzo ya ujasiriamali yaliyoendeshwa na shirika la vijana wajasiriamali na uwezershaji Tanzania TYEEO

THE NEW CERTIFIED ENTERPRENEURS

Hawa ni wanakikundi waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali kutoka kataa ya KIVULE mtaa wa MACHIMBO manispaa ya ILALA , yaliyotolewa na shirika la vijana wajasiriamali na uwezeshaji Tanzania TYEEO.

Saturday, January 11, 2014

THE MACHIMBO ENTERPRNEURSHIP SEMINA

 Women at the Machimbo area here in Pwani region got some entrepreneurship lessons from the administrator Mr Ayub, the semina relayed on the skills on how to utilize the available resources here at Machimbo area which Agriculture was the main activity taking part at the area,.